iqna

IQNA

Masjid al-Haram
Umrah
TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya waumini milioni 22 walitembelea eneo takatifu zaidi katika Uislamu, Msikiti Mkuu Makka ( Masjid al-Haram ) katika siku 20 za kwanza za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3476866    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/14

Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Waumini ambao hawajachanjwa sasa wanaruhusiwa kuingia katika maeneo mawili matakatifu zaidi ya Uislamu ambayo ni Msikiti Mtakatifu wa Makka ( Masjid al-Haram ) na Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) mjini Madina.
Habari ID: 3475574    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/03